Hatua Saba (07) Za Kuzingatia Wakati Unapanga Malengo Yako.

11:13
 
Share
 

Manage episode 318259271 series 3280689
By Innocent Ngaoh. Discovered by Player FM and our community — copyright is owned by the publisher, not Player FM, and audio is streamed directly from their servers. Hit the Subscribe button to track updates in Player FM, or paste the feed URL into other podcast apps.
Je unataka kutimiza malengo yako kwa asilimia ngapi? Unajua kwamba kutimiza malengo yako inategemea sana namna ya kupanga malengo yako kwa bahati mbaya changamoto kubwa watu wengi hawajui namna gani wanapanga malengo vizuri na kwa ufanisi. Sikiliza Podcast hii mpaka mwisho utaweza kujua hatua saba za kuzingatia wakati unapanga maalengo yako, Kutimiza malengo ipo ndani ya uwezo wako ni wewe kujua hatua saba za kuzingatia wakati unapanga malengo yako. Usisahau ku- Subscribe kwenye Apple Podcast na kuweka Nyota 🌟 5. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/maishanikuthubutu/message

32 episodes