Binti Wa Yesu

Share
 

Manage series 3173267
By Upendo Masenga. Discovered by Player FM and our community — copyright is owned by the publisher, not Player FM, and audio is streamed directly from their servers. Hit the Subscribe button to track updates in Player FM, or paste the feed URL into other podcast apps.
Maisha ya kumpendeza Kristo katika ulimwengu huu ulioharibika hasa kwa binti aliye 'single' si kitu rahisi. Karibu katika Binti wa Yesu, mahali pa kujengana, kuwezeshana kupitia maarifa, kutiana moyo, kuzizungumza changamoto katika maisha ya binti aliyeokoka, kutambua thamani yako kama binti, kuwa na mahusiano yanayompendeza Mungu na kuliishi kusudi la Mungu hapa duniani. Instagram: upendo.masenga Facebook: Upendo Masenga YouTube: Upendo Masenga Telegram:https://t.me/mrembowaKristo Email: masengaupendo@gmail.com

16 episodes