Rfi Kiswahili public
[search 0]
More

Download the App!

show episodes
 
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
 
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
 
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
 
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
 
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
 
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
 
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
 
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
 
Loading …
show series
 
Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo ni spisho kabisa tunazungumzia juu ya maandalizi ya wiki ya Francophonie tumemualika studio muandishi wa vitabu Abdurahamani Waberi raia wa Ufaransa mwenye asili ya Djibouti kuzungumzia hasa kitabu chake Les Etats Unies d’Afrique, na kwenye kipengele ch…
 
Jumamosi hii, miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na mwanamasombwi kutoka Tanzania, Karim Mandonga kupambana na mpinzani wake kutoka nchini Uganda jijini Nairobi, matokeo, matukio na uchambuzi wa mashindano ya kufuzu Kombe la mataifa ya Afrika mwaka huu na Kombe la EURO mwaka ujao huko barani Ulaya.…
 
Karibu kuungana nami jumapili hii katika Makala haya Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya makala kuhusu mwezi wa Francophonie na kwenye le parler francophone nakuletea shughuli za kitamaduni zilizojiri kwenye vituo vya Alliance Francaise ya Mombasa, Nairobi na Dar es salaam na kwenye Muziki nakuletea mwanamuziki kutoka n…
 
Miongoni mwa yale utakayosikia, ni hatua ya rais wa DRC Felix Tshisekedi kumteua Jean Pierre Bemba kuwa Waziri mpya wa Ulinzi na Vital Kamerhe kuwa Waziri wa Uchumi, maandamano ya upinzani nchini Kenya na makabiliano ya waandamanaji na polisi nchini Ufaransa kupinga mageuzi ya mfumo wa pensheni.By RFI Kiswahili
 
Rais wa Senegal Macky Sall, amesema haitokuwa kinyume cha katiba kwake kuwania muhula wa tatu wenye utata katika uchaguzi wa mwakani. Hali ambayo imeibua hisia kwa nini viongozi wengi wa Afrika wamekuwa wakifanya marekebisho ya katiba ilikusalia madarakani?Unazungumziaje kuhusu hili?Unafkiri Viongozi wa Afrika wanahitaji muda zaidi wa kuwa madaraka…
 
Wataalamu wa uchumi na diplomasia wanasema, katika muda mchache aliokuwa madarakani, ameonesha dhamira ya kutekeleza mageuzi makubwa ya kiuchumi nchini Tanzania, mbali na uchumi, ameshughulikia masuala ya kisiasa na kusaka maridhiano ya kitaifa, wiki hii katika makala ya Gurudumu la Uchumi, tunaangazia miaka miwili madarakani ya rais wa Tanzania Sa…
 
Msikilizaji hebu fikiria kuwa na dunia yenye usawa. Dunia huru ya bila upendeleo na ubaguzi. Dunia jumuishi, yenye kutoa haki na shirikishi. Dunia ambayo licha ya tofauti zetu lakini bado tunaheshimiana na kufurahia. Na leo hii wataalamu wanatuambia tunaweza kusimama pamoja kuhamasisha usawa wa kijinsia kwa wote bila ubaguzi wa wanawake.…
 
Karibu kuwa nami kwa mara nyingine tena katika Makala Changu Chako Chako Changu ambapo leo tunazungumzia kuhusu mwezi wa la francophonie, na kwenye le parler francophone tutazungumzia tamasha lililoandaliwa na Alliance francaise ya Nairobi ya wasanii kutoka katika maeneo mbalimbali duniani waliojumuika katika kundi la Chansons sans frontieres.…
 
Nikukaribishe mpenzi msikilizaji katika Makal aya leo Habari Rafiki tunazungumzia kuhusu Kuongezeka kwa maandamano yanayoshuhudiwa duniani zikiwemo Kenya, Afrika Kusini, Tunisia na Ufaransa kuzua taharuki kwa kero mbalimbali ikiwemo gharama kubwa ya maisha.Unadhani maandamano ndio njia ya kuifanya serikali kuchukua hatua?…
 
Sanaa ni moja wapo ya nguzo muhimu katika kupigania haki za binadamu, katika makala haya mwanahabari wetu Benson Wakoli kwa undani anajadili na wanaharakati waagizaji Irene Kamau kutoka kituo cha haki cha Dandora, nchini Kenya pamoja na Domic Mutemi kutoka kituo cha haki cha Githurai. Bi Irene na bwana Mutemi anasema kutokana na sanaa wamafikia men…
 
Kwa mujibu wa mpango kazi wa shirika la afya duniani,WHO,mataifa yanastahili kupunguza vifo vinavyosababishwa na TB kwa asilimia 90 na maambukizo mapya kwa asilimia 80. Kila mwake tarehe 24 mwezi Machi ,dunia huungana kuadhimisha siku ya TB , kaulimbiu ya siku ya kifua kikuu duniani mwaka huu. ikiwa Ndiyo tunaweza kuwekeza zaidi kumaliza Kifua Kiku…
 
Ni miaka miwili sasa tangu rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, achuukue uongozi wa taifa hilo. Katika kipindi cha miaka hiyo tayari amefanya mageuzi makubwa ya kisiasa na kiuchumi kiasi cha kuvutia viongozi wa Afrika.Unazungumziaje miaka miwili ya rais Samia madarakani?Unaamini ameleta mabadiliko yaliotarajiwa na raia?Ni kipi unaweza kusifia kati…
 
Miakala hii imeangazia hatua ya bunge la Angola kuidhinisha kutumwa kwa wanajeshi 500 wa nchi hiyo mashariki mwa DRC, hali ya wasiwasi nchini Kenya, kufuatia wito wamaandamano kupinga ugumu wa maisha kama ulivyoitishwa na kinara wa upinzani wa Azimio Raila Odinga, watu zaidi ya 300 wauawa na kuwaacha maelfu bila makaazi katika kimbunga Freddy kule …
 
Kama ilivyo ada kila siku ya ijumaa makala ya Habari rafiki ni mada huru, tunatoa nafasi kwa wasikilizaji kuchangia swala walitakalo ambapo pia wanaweza kuzungumzia taarifa ambazo tumekuwa nazo katika matangazo yetu ya wiki hii..Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka, moja kwa moja kutoka studioni kukuletea maoni ya wasikilizaji waliyotuma kwa nj…
 
Nchini Kenya kinara wa upinzani Raila Odinga, ameitisha maandamano kuishinikiza serikali ya rais William Ruto kulishughulikia swala la mfumuko wa bei linaonekana kuwa mzigo kwa raia wa Kenya. Unadhani hatua hii ya upinzani itasaidia kulishugulikia swala la mfumuko wa bei? Hapo kwenu serikali inafanya nini kutatua swala la mfumuko wa bei? Nchini Ken…
 
Leo tunatupia jicho nafasi ya wanawake kwenye siasa za bara Afrika. Wiki hii siku ya Jumapili tarehe 19 rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, anatimiza miaka mitatu madarakani, baada ya kuapishwa kuongoza nchi hiyo kama rais wa sita, na kuwa rais wa kwanza mwanamke. Samia alichukua hatamu za uongozi baada ya kifo cha mtangulizi wake John Magufuli. …
 
Ndoto za wavumbuzi waki sayansi kutoka nchini Tanzania kama walivyo wengine kutoka nchini za ukanda wa Afrika mashari kwa ujumla ni kuhakikisha kuwa wanazalisha au kuvumbua vifaa ambavyo vinautambulisho wa mataifa yao karibu katika makala ya Afrika mashariki hii leo tupata simulizi ya vijana walio acha kazi na kuaumua kujiajili wenyewe katika uvumb…
 
Jumamosi iliyopita Rais wa Namibia Hage Geingob, alimtaja Netumbo Nandi-Ndaitwah kuwa mgombea wa chama tawala SWAPO katika uchaguzi mkuu wa mwakani. Ikiwa ataungwa mkono na kuchaguliwa atakuwa mwanamke wa tatu kuongoza nchi baada ya rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na Tanzania Samia Suluhu Hassan. Nini maoni yako kwa hatua hii? Unafikiri muda …
 
Kuna haja ya Afrika kuwa na mifumo thabit ya afya ,kuweka rasli mali zake pamoja na kuwa ajenda moja kuhusu afya ,wakati huu athari hasi ya mabadiliko ya tabia nchi zinapoendelea kukabili ulimwengu Viongozi wa mataifa ya Afrika pamoja na wadau kwenye sekta ya afya wamejadiliana jijini Kigali kwenye kongamano la AHAIC, kuhusu kutembea pamoja kuwa na…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2023 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service