show episodes
 
Jifunze nyenzo ya sayansi ya mapishi. Utapata Elimu ya magonjwa yasiyo ambukiza,Elimu ya magonjwa ya homoni,elimu ya lishe,kanuni za mapishi na Kanuni za Kula ulichopika. Kiujumla utajitibia Magonjwa ya lishe na Homoni kwa kutumia Chakula unachopika wewe mwenyewe jikoni.
 
Loading …
show series
 
PUNGUZA UZITO ZAIDI KILO 12 NDANI YA MIEZI 4 UTEKELEZAPO NHC-WEIGHTLOSS BOOTCAMP.Ni programu ya kupunguza uzito na Kitambi inatolewa mtandaoni popote ulipo unaweza kujifunza unachotakiwa kuwa nacho ni Internet simu au Kompyuta.Mafunzo Haya yanajumuisha yafuatayo:-1. Elimu ya sayansi ya Kitambi na uzito mkubwa2. Elimu ya sayansi ya vyakula,Elimu ya …
 
MAMBO O5 YANAYO GHARIMU AFYA NA UHAI WAKO 1.Kutokuhoji Kile Unachokula na Kunywa -Mazoea -Malezi -Makundi ya marafiki -Uraibu wa vyakula (Food addictions) 2.Kuruhusu uzito mkubwa na Kupalilia Kitambi Wengi wanatembea na Kisukari Kilicho Jificha kiitwacho Pre diabetes 3. Mwili kuwa katika msongo wa sumu zinazojeruhi mwili ziitwazo Free radicals bila…
 
Katika Episode hii utajifunza kuhusiana na ugonjwa wa shinikizo la damu WASILIANA NASI SIMU +255767 074 124 +225787 999 994 +255767 030 160 Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA Tu…
 
WASILIANA NASI SIMU +255767 074 124 +225787 999 994 +255767 030 160 Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/…
 
Katika Episode hii utajifunza namna ya kutibu tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa na mvurugiko wa homoni. WASILIANA NASI SIMU +255767 074 124 +225787 999 994 +255767 030 160 Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA…
 
Jifunze dalili 10 za mvurugiko wa homoni kwa mwanamke WASILIANA NASI SIMU 0767 074 124 0787 999 994 Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INST…
 
Karibu katika episode ya tano ya ya mafunzo yetu ya afya katika episode hii utajifunza kuhusu ugonjwa wa kisukari na hasa tutajikita kuangazia ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa gani hasa, pia utajifunza kuhusu njia tatu ambazo zitakusaidia kudhibiti ugonjwa huu wa sukari nyingi kwenye damu kwa kutumia hatua hizi unaweza kudhibiti sukari yako kabisa na…
 
Katika episode hii ya nne utajifunza juu ya ugonjwa wa mzio kitaalamu unaitwa ugonjwa wa allergy. Utajifunza chanzo cha ugonjwa huu wa mzio, sababu za ugonjwa huu pamoja na namna gani unaweza kudhibiti na kujikinga na ugonjwa huu. Karibu katika episode hii ya nne ujumuike nasi uweze kujifunza, unaweza kutembelea katika mitandao yetu ya kijamii kama…
 
Kupunguwa hamu ya tendo la ndoa sio Tatizo linalo wakabili wanaume pekee. Wanawake pia wanakumbwa sana na tatizo hili na ni tatizo kubwa sana huleta migogoro mikubwa sana ya kindoa. 1. Kuvurugika kwa homoni za kike. Kupanda kwa Prolactin na kushuka kwa Estrogen. 2. Magonjwa ya lishe Kitambi Kisukari Shinikizo la damu nk 3. Umri wa kikomo cha hedhi …
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2022 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login