UN Global Communications, Digital Solutions Unit public
[search 0]

Download the App!

show episodes
 
UN News interviews a wide range of people from senior news-making officials at Headquarters in New York, to advocates and beneficiaries from across the world who have a stake in helping the UN go about its often life-saving work in the field.
 
This flagship podcast series from UN News takes its name from the words that correspondents at UN Headquarters in New York hear each night, at the end of the working day. We highlight the in-depth human stories behind the UN’s work and the way that it touches and impacts ordinary lives around the world.
 
The United Nations is a complicated place so this podcast from hosts Sinduja Srinivasan and Jason DeWall for UN News - one insider, one outsider - aims to change all that. They demystify the UN through compelling interviews and stories making the world body more accessible and straightforward.
 
There’s no denying it - we have to tackle the climate emergency. Burning fossil fuels to get energy has to end. It's doable but it's going to take solutions in every industry, at every scale, in every nation in the world. No Denying It, the UN climate action podcast, brings you the voices of young climate changemakers from across our warming planet. These activists, engineers, and entrepreneurs show us how we can make big changes - in our homes, our jobs, where we vote and where we pray, and ...
 
Loading …
show series
 
A report by the UN environment agency (UNEP) produced at the end of 2002 provides insights into the destruction the war in Ukraine has inflicted on the country’s urban and rural landscapes. Nargiz Shekinskaya from UN News spoke to Andrea Hinwood, UNEP’s Chief Scientist, and began by asking her how much this preliminary study can tell us about the t…
 
A report by the UN environment agency (UNEP) produced at the end of 2002 provides insights into the destruction the war in Ukraine has inflicted on the country’s urban and rural landscapes. Nargiz Shekinskaya from UN News spoke to Andrea Hinwood, UNEP’s Chief Scientist, and began by asking her how much this preliminary study can tell us about the t…
 
Lengo namba 16 la malengo ya maendeleo endelevu SDGs yaliyopitishwa na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2015 linasisitiza amani, haki na taasisi thabiti. Uvunjivu wa amani utokanao na migogoro kwenye jamii ni moja ya maeneo yanayomuikwa ili kuhakikisha amani inakuweko na hivyo kuwezesha kufikia SDGs mwaka 2030. Nchini Tanzania, wiki ya sher…
 
Kufuatia mashambulizi yanayofanywa na makundi mbalimbali ya waasi kwa raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC hususani mashariki mwa nchi hiyo ya pili kwa ukubwa wa eneo barani Afrika, walinda amani wa Umoja wa Mataifa wa kikosi cha 9 kutoka Tanzania, TANZBATT 9 kinachohudumu katika kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kujibu mashambulizi cha FIB-…
 
Hii leo jaridani tuakuletea ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kuhusu makumbusho ya Holocaust, pia tunamulika kazi ya walinda amani nchini DR Congo. Makala tunakwenda nchini Tanzania na mashinani tunasalia hapa makao makuu wa Umoja wa Mataifa. Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kumbukizi ya waathitrika wa mauaji ya maangamizi…
 
Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kumbukizi ya waathitrika wa mauaji ya maangamizi makubwa au Holocaust Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema mauaji hayo yalikuwa ni malimbikizo ya miongo ya chuki dhidi ya wayahudi ndio maana sasa ni wakati wa kuhakikisha chuki za aina yoyote ile zinakomeshwa duniani. Katika ujumbe wake wa siku hii Katibu Mkuu An…
 
It is becoming increasingly clear that the climate crisis is having a major impact on migration flows, with millions forced to move from their homes as a result of a disaster, or because they have been affected by slower-moving environmental changes that leave their homes uninhabitable, such as desertification or sea-level rises. On today’s show, C…
 
Umoja wa mataifa kwa ushirikiano na serikali ya Kenya ulizindua mwaka 2015 mradi wa kuwarejesha watoto shule walioacha kwa sababu moja au nyengine. Kupitia mashirika mbalimbali kama Educate A Child, Shirika la umoja wa mataifa la kuhudumia watoto UNICEF na lile la idadi ya watu duniani UNFPA ilizindua miradi ya pamoja ya kuwarejesha watoto shule. U…
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo leo tunakwenda nchini Kenya kuangazia juhudi za mradi wa Teen Seed Africa unavyorejesha matumaini ya elimu kwa wasichana walioacha shule kutokana na mimba za mapema. Pia tunakuletea habari kwa ufupi zikiwemo kutoka nchini DR Congo, Ethiopia na Senegal. Katika kujifunza Kiswahili ambapo utapata ufafa…
 
Hii Leo jaridani tunaangazia mkutano nchini Niger kuhusu kanda ya Ziwa Chad, na habari njema kwa wakulima wa vitunguu nchini Sierra Leone. Makala tunakupeleka nchini Kenya na mashinani nchini Uganda, kulikoni? Mkutano wa 3 wa Ngazi ya Juu kuhusu Kanda ya Ziwa Chad umehitimishwa leo kwa kuthibitishwa ahadi kutoka kwa nchi za Bonde la Ziwa Chad na wa…
 
Mkutano wa 3 wa Ngazi ya Juu kuhusu Kanda ya Ziwa Chad umehitimishwa leo kwa kuthibitishwa ahadi kutoka kwa nchi za Bonde la Ziwa Chad na wadau kwa mwitikio ulioratibiwa, wa kikanda na ulio endelevu. Mkutano huo uliohitimishwa leo katika mji mkuu wa Niger, Neamey, ulilenga kuhakikisha usaidizi wa kibinadamu na ulinzi na kukuza fursa za ufumbuzi wa …
 
Shirika la Umoja wa mataifa la Afya duniani, WHO kwa ushirikiano na serikali ya Kenya wanasambaza msaada wa chakula tiba cha dharura mahsusi kwa watoto walio na utapia mlo sugu. Watoto hao wanatokea kaunti za Samburu, Turkana na Isiolo ambako ukame na njaa vimepiga kambi. Watoto takriban 10,000 watapata chakula hicho kilicho tayari kuliwa. Thelma M…
 
Vitunguu kuoza na kukosekana kwa kipato ulikuwa ni uhalisia kwa wakulima wa vitunguu kwenye mji wa Kabala nchini Sierra Leone wakati janga la COVID-19 lilipoibuka mapema mwaka 2020. Hali ilikuwa tete lakini kilio cha wakulima hao kilisikika na mfuko wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo ya kilimo, IFAD ukaingilia kati. Kabala, mji ulio kaskazini mwa Sie…
 
Without $1.6 billion in funding for essential services and humanitarian aid to help Palestinian refugees this year, they could hit rock bottom, the head of the UN Relief and Works Agency – or UNRWA – said on Tuesday. In an interview with UN News’s Daniel Johnson, UNRWA chief Philippe Lazzarini explains where the needs are most acute, and why the ag…
 
Without $1.6 billion in funding for essential services and humanitarian aid to help Palestinian refugees this year, they could hit rock bottom, the head of the UN Relief and Works Agency – or UNRWA – said on Tuesday. In an interview with UN News’s Daniel Johnson, UNRWA chief Philippe Lazzarini explains where the needs are most acute, and why the ag…
 
Disturbing new data released on Tuesday from the UN Office on Drugs and Crime (UNODC) has highlighted concerns that most human trafficking victims who manage to escape, do so without the help of law enforcement. The worry is that the COVID pandemic has forced governments to divert resources away from law enforcement activities that include tracking…
 
Disturbing new data released on Tuesday from the UN Office on Drugs and Crime (UNODC) has highlighted concerns that most human trafficking victims who manage to escape, do so without the help of law enforcement. The worry is that the COVID pandemic has forced governments to divert resources away from law enforcement activities that include tracking…
 
Ni Jumanne ya tarehe 24 mwezi Januari mwaka 2023 ambapo leo tunakwenda nchini Tanzania kuangalia juhudi zinavyofanyika kuhakikisha wanafunzi hususan wa vijijini wanakuwa na mazingira bora ya kuweza kujisomea nyakati zote. Pia tunakuletea habari kwa ufupi zikimulika hali ya usalama DR Congo, ujumbe wa Katibu Mkuu ya siku hii ya elimu duniani na ripo…
 
Kuunganisha kila shule kwenye mtandao wa intaneti ndio msingi wa GIGA, mradi unaotekelezwa kwa pamoja na mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa, lile la kuhudumia watoto UNICEF na la mawasiliano, ITU, yakitekeleza maono ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, mathalani Ajenda ya Pamoja. Kupitia GIGA pengo la kidijitali linapungua; walimu…
 
kupitia mradi wa mabadiliko ya haraka vijijini (RRT) shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP na wadau wake wameanzisha kituo maalum cha paneli za sola ambacho ni chanzo kikuu na endelevu cha maji na teknolojia ya mawasiliano ICT katika maeneo ya vijijini nchini Madagascar, hatua inayoruhusu upatikanaji wa huduma muhimu kama vil…
 
Hii leo jarida linaangazia afya likikuletewa ripoti kuhusu ugonjwa wa moyo na WHO na, na pia tuanakupeleka nchini Madagascar kuangazia miradi mbalimbali. Makala na mashinani tunakwenda nchini Rwanda, kulikoni? Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la la Afya Duniani (WHO) iliyotolewa leo Jumatatu Januari 23, 2023 imebainisha kuwa watu bilioni …
 
Sexual exploitation and abuse of vulnerable communities have “absolutely no place” in the United Nations and more needs to be done to help victims raise the alarm. That’s the message from the top UN official tasked with eradicating sexual and gender-based violence, Christian Saunders. In an exclusive interview, Mr. Saunders explains how he wants al…
 
Sexual exploitation and abuse of vulnerable communities have “absolutely no place” in the United Nations and more needs to be done to help victims raise the alarm. That’s the message from the top UN official tasked with eradicating sexual and gender-based violence, Christian Saunders. In an exclusive interview, Mr. Saunders explains how he wants al…
 
Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la la Afya Duniani (WHO) iliyotolewa leo Jumatatu Januari 23, 2023 imebainisha kuwa watu bilioni tano duniani hawajalindwa dhidi ya viambato hatari vya mafuta vilivyoko katika bidhaa za vyakula vinazozalishwa viwandani na hivyo kuongeza hatari ya kupata magonjwa ya moyo na kifo. Shirika la Umoja wa Mataifa…
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO linasema idadi ya milipuko ya magonjwa iliyoripotiwa na pia dharura za kiafya zinazohusiana na tabianchi katika Ukanda wa Pembe ya Afrika zimefikia kiwango cha juu zaidi kuwahi kutokea karne hii, na hivyo kuzidisha janga la kiafya katika eneo ambalo watu milioni 47 tayari wanakabiliwa na njaa kali. M…
 
Hii leo jarida linaangazia mapigano Soledar Mashariki mwa Donetsk Oblast nchini Ukraine, na habari kuhusu afya kanda ya ulaya. Makala tunakwenda nchini Somalia na mashinani DR Congo. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA limesema kwa mara ya kwanza misaada ya mashirika ya Umoja wa Mataifa imefaniki…
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA limesema kwa mara ya kwanza misaada ya mashirika ya Umoja wa Mataifa imefanikiwa kuwasili katika eno linalodhibitiwa na serikali karibu na Soledar Mashariki mwa Donetsk Oblast nchini Ukraine. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo mjini Geneva Uswis na OCHA msaa…
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni WHO kanda ya ulaya tangu kuanza kwa msimu wa baridi kali katikati ya mwezi Novemba mwaka 2022 wamebaini kuongezeka kwa wagonjwa wanaolazwa kutokana na magonjwa ya homa ya mafua makali au flu, matatizo ya kupumua na COVID-19. Walio hatarini zaidi kupata maambukizi ya magonjwa hayo ni wahudumu wa afya p…
 
UN News publishes stories in 10 languages, with the aim of ensuring that as many people as possible understand the impact of the United Nations, and in order to provide a reliable news source on a variety of platforms. On today’s show, Conor Lennon speaks to Mita Hosali, who is in overall charge of the UN’s news output, as Deputy Director of the Ne…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2023 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login