Gano dukkan shirye-shirye da labaran RFI
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
An in-depth look at what makes this country tick.
Confira aqui as análises, entrevistas e repercussões de notícias que você pode ouvir e baixar. As reportagens +RFI propõem a cobertura de eventos importantes no mundo inteiro feita pelos repórteres e correspondentes da Rádio França Internacional.
RFI goes behind-the-scenes of one of the week's major stories.
Shiri ne na musamman, da kan tattaunawa da bangarori daban-daban na Al’umma da ke sauraren Shirye shiryen RFI Hausa daga kowane kusurwa na fadin duniya, kan muhimman batutuwa, da suka shafi siyasa Tattalin’ariziki, al’adu da dai sauransu…
Join RB and Jiub as they crack jokes LIVE!!!Links:NHTB: forum.nobodyhasthe.bizDLIVE: dlive.tv/RB_88 (Streaming Fridays at 8:00 usually)WEBSITE: https://audio.nobodyhasthe.biz/channels/blackielawlessfanclub/ RSS: https://audio.nobodyhasthe.biz/api/v1/channels/blackielawlessfanclub/rss HATEBUS: https://hatebus.libsyn.com/ MUYF: https://audio.nobodyhasthe.biz/channels/metalupyourfash/RFI: https://www.youtube.com/channel/UCOEKLOtg6ovfltpq2Ytn5nw
Your Hosts, Tevron and Lowsten keep you up to date on what's happening in RFI.
Weekly language learning podcast. Learn French through current events.
A kowace Litinin da Juma'a a shirye-shiryen Safe da Dare ana gabatar da Shirin Duniyar Wasanni akan batutuwa daban-daban da suka shafi wasanni a sassan duniya.
Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
Shirin yakan duba yadda kasuwanci da tattalin arizikin kasashen duniya ke ciki. Kana yakan ji sabbin dubaru da hanyoyin ci gaban tattalin arzikin na kasashen duniya. Tare da jin ta bakin 'Yan kasuwa da Masana’antu dangane da halin da suke ciki.
Music, interviews, quirky listener essays ... you never know what you'll be served up on the Sound Kitchen where Susan Owensby is cooking. And remember, you can find the Sound Kitchen on Facebook.
Wayar da kan jama’a da ilmantar da su, game da sha’anin da ya shafi Noma da muhalli da canjin yanayi. Yin bayanai dangane da batun gurbacewar yanayi tare da dumamarsa (Yanayi).
Kawo al’adu na zamani da wadanda suka shude daga sassan kasashen duniya domin mai sauraro ya san cewa, duniyarmu tana da girma da yawan jama’a masu al’adu daban-dabam. Akwai kuma Shirin al'adunmu na musamman na karshen mako da mu ke gabatarwa a ranakun Asabar da lahadi.
Shirin Mu Zagaya Duniya na duba Wasu Muhimman Labarai da suka ja hankalin Duniya a cikin mako. Ana gabatar da shirin ne a ranar Asabar da safe a kuma maimaita ranar Lahadi da daddare.
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea iwe ni katika uga wa uchumi na siasa duniani kote.
Shirin Lafiya Jari ce na tattaunawa da likitoci da mahukunta a game da kiyon lafiyar jama’a, sanin sabbin magunguna da binciken kimiya ya samar. Ana gabatar da shirin a ranar Littinin da hantsi, tare da maimaici a ranar Jumma'a da safe.
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
Africa Calling is a twice-monthly podcast taking a more in-depth look at current events in Africa, with sound-rich feature reports covered by our correspondents in the field. African voices, African correspondents.
Produced by global FS intelligence specialist, RFI Global, this podcast is focused on key trends, market insights, thought leadership and best practice within the fast growing and dynamic world of digital banking.
The Responsible Finance Podcast provides access to the leaders behind innovative approaches to creating positive social impact in responsible finance.
Conversations with movers, shakers, and trailblazers. Impactful by RFI is a podcast that explores the experiences of women in the workplace to inspire, inform and empower women to be a strong and positive voice in their fields. Interviews cover professional journeys, passions pursued, stories of success and setbacks, barriers including race and ethnic issues, biases/discrimination, and shared advice and wisdom around pursuing one’s passion in a specific field. By tapping into these experienc ...
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
Wannan Shirin ya shafi Fadakar da al'umma game da ci gaban da aka samu a sha'anin Ilimi a fannoni daban-daban na duniya, tare da nazari kan irin ci gaban da aka samu wajen binciken kimiya da fasaha da ke neman saukakawa Dan’adam wajen tafiyar da rayuwarsa a duniya. Shirin kuma zai yi kokarin jin irin bincike da masana ke yi domin inganta rayuwar Bil’adama. Shirin na zo maku ne, a duk ranar Talata a shirye-shiryenmu na safe, a ku maimata ranar Alhamis.
A monthly cinema feature with a special French focus.
Hints and tips to improve your bids and proposals, so that you can win more business!
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
An in-depth look at an important story affecting the African continent today.
Join host Peter Argondizzo and expert guests from around the translation industry to get an inside look at how language translation can benefit your business while bridging the communication gap in today's globalized world.
A monthly look into the different political, social and cultural events affecting the region.
Welcome to the Evil DM Podcast, I am The "Podfather of Old School Gaming Podcasts". This podcast started out as a rip of my youtube, but then morphed into a daily thoughts podcast. Talking RPGs, comics, geeky stuff and whatever comes across my mind. Warning: I don't care about your feelings. As of June 2021 the home of RFI Minis, yep that's right every couple of days or so I will bring you a mini episode of the RFI Podcast, talking AD&D 1e! Leave me a voice mail or check out my website: TheE ...
France is a hub of culture, and of all kinds of art. Whether in Paris or beyond, Culture in France, relays the latest performance events.
Opiniões de especialistas sobre pesquisas, avanços e descobertas em todas as áreas científicas e tecnológicas, da medicina, espaço e bioética ao high-tech, redes sociais e comunicação multimídia.
By RFI Hausa
H
Habari RFI-Ki


1
Somali: Serikali kushinda vita dhidi ya Al shabaab
10:00
10:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:00
Katika makala ya Habari rafiki, hii leo tunaangazia nchi ya Somalia na washirika wake wameendelea kufanikiwa katika vita dhidi ya kundi la Al shabaab, ambapo tayari viongozi wawili wa juu wa kundi hilo wameuawa.Swali ni Je ? Somalia inaendelea kufanikwa dhidi ya kundi hili?Unafikiri Nchi za ukanda zinapaswa kuongeza nguvu zaidi kuisaidia Somalia…
M
Muziki Ijumaa


1
Midundo motomoto ndani ya mitambo ya rfi kiswahili
15:28
15:28
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
15:28
Ukikose kuskiza vibao mrua kabisa ndani ya makala muziki ijumaa kila ijumaa katika rfi kiswahili.By RFI Kiswahili
T
Tattaunawa da Ra'ayin masu saurare


1
Ra'ayoyin Masu Saurare kan rikicin Isra'ila da Falasdinu
15:25
15:25
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
15:25
Shirin Ra'ayoyin Masu Saurare na wannan rana ya tattauna ne kan yadda kasashen duniya suka yi kira da a samar da zaman lafiya tsakanin Isra'ila da Falasdinu da suka dauki tsawon shekaru suna gaba da juna. Ku latsa alamar sauti domin sauraren cikakken shirin tare da Hauwa Mohammed.By RFI Hausa
By RFI Hausa
By RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
G
Gurudumu la Uchumi


1
Vijana: Tuwe wabunifu kufikia malengo endelevu ya umoja wa mataifa
10:01
10:01
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:01
Msikilizaji, ili kufikia malengo endelevu ya umoja wa Mataifa, wataalamu wanasema dunia ni lazima itumie ipasavyo nguvu kazi ya vijana, na kwamba ushirikishaji wa kizazi cha vijana ni muhimu kwa maendeleo, ili kuhakikisha hakuna atakayeachwa nyuma. Katika ripoti ya umoja wa Mataifa ya mwaka 2021 kuhusu umri “The Global Report on Ageism”, ilionesha …
By RFI Kiswahili
K
Kasuwanci


1
CBN ya tsawaita wa'adin daina karbar tsoffin kudi da kwanaki 10
9:46
9:46
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:46
Shirin 'Kasuwa akai Miki Dole na wannan mako tare da Ahmed Abba ya maida hankali ne kan wa’din kawo karshen amfani da wasu takardun kudin Nairar Najeriya, da babban bankin kasar ya tsawaita da karin kwanki 10 kacal bayan fuskantar matsalin lamba.By RFI Hausa
J
Jua Haki Zako


1
Human Right Watch - Serikali za Africa zinakandamiza wapinzani wao
9:59
9:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:59
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Human Right Watch, limesema bado serikali za Africa linawakandamiza wapinzani wao.Skiza makala hay kwa mengi zaidi.By RFI Kiswahili
By RFI Hausa
W
Wimbi la Siasa


1
Joto la kisiasa limeanza kupanda nchini Kenya
10:00
10:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:00
Nchini Kenya siasa zimeanza tena miezi tano tu baada ya uchuguzi mkuu, siasa hizo zikichochewa na kiongozi wa upinzani Raila Odinga kukataa kutambua serikali ya rais William Ruto.Je hili lina maana gani ?Benson Wakoli, amezungumza na mchambuzi wa siasa za Kenya Brain Mutie katika makala haya ya wimbi la siasa.…
By RFI Hausa
By RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
By RFI Hausa
T
Tattaunawa da Ra'ayin masu saurare


1
Yadda shirin sauya Naira ya shafi kasashe makotan Najeriya
16:26
16:26
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
16:26
Shirin Ra'ayoyin Masu Saurare na wannan rana ya tattauna ne kan yadda sabon tsarin CBN na sauya takardar kudin Naira ya shafi kasashe makwabta da suka bayyana fargabarsu ta tafka gagarumar asara. Ku latsa alamar sauti domin sauraren mabanbantan ra'ayoyin jama'a daga ciki da wajen Najeriya.By RFI Hausa
By RFI Hausa
By RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
A
Al'adun Gargajiya


1
Tasirin bikin al'adu na tunawa da dokin iska dan Filinge
10:18
10:18
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:18
Shirin al'adunmu na gado tare da Abdoulaye Issa a wannan mako ya sake yin duba kan tasirin gasar tseren doki da ya samo asali daga bikin al'adun tunawa da dokin iska dan Filinge karo na 6, Ayi saurare Lafiya.By RFI Hausa
By RFI Hausa
By RFI Hausa
By RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
By RFI Hausa
T
Tattaunawa da Ra'ayin masu saurare


1
Ra'ayoyin Masu Saurare kan tsawaita wa'adin tsohuwar Naira
15:47
15:47
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
15:47
Babban Bankin Najeriya CBN ya tsawaita wa’adin daina amfani da tsohuwar Naira da kwanaki 10 bayan ya sha matsin lamba daga sassan kasar, inda a yanzu ya ce, nan da ranar 10 ga watan Fabairu mai kamawa, za a daina amfani da tsohuwar Nairar, sabanin wa’adin ranar 31. Ya kuke kallon matakin tsawaita wa’adin daina karbar Nairar? Wane kalubale kuke fusk…
By RFI Kiswahili
By RFI Hausa
By RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
H
Habari RFI-Ki


1
DRC: Mapigano yanaendelea kuripotiwa mashariki ya nchi
9:44
9:44
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:44
Mapigano zaidi yanaendelea kuripotiwa licha ya juhudi zinazoendelea kumaliza mapigano katika êneo la mashariki ya taifa hilo.Unadhani ni kwa nini ?Nini kifanyike kumaliza mapigano haya kabisa?Karibu naitwa Reuben LukumbukaBy RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
W
Wasanni


1
Yadda gasar kwallon dawaki ke ci gaba da samun karbuwa a sassan Najeriya
9:57
9:57
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:57
Shirin duniyar wasanni na wannan mako tare da Khamis Saleh ya mayar da hankali ne kan wasannin kwallon dawaki ko kuma Polo, guda cikin wasannin da ke dimbin magoya baya a sassan Najeriya ciki har da jihar Plateu inda aka shirya gasar cin kofin Gwamna na kwallon dawaki.By RFI Hausa
L
Lafiya Jari ce


1
Yadda jihar Yobe ta samu tagomashin sabbin asibitoci da kayakin kula da lafiya
9:51
9:51
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:51
Shirin 'Lafiya Jari Ce' na wannan mako tare da Azima Bashir Aminu ya yi duba ne kan ci gaban lafiyar da aka samu a jihar Yobe a yankin Arewa maso gabashin Najeriya, bayan da gwamnatin jihar ta samar da sabbin asibitoci da kuma horar da malaman jinya don dakile matsalolin lafiyar da jihar ke fuskanta.…
M
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho


1
Mkutano wa viongozi wa Afrika kuhusu usalama wa chakula barani Afrika
10:00
10:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:00
Viongozi wa Afrika walikusanyika Dakar,nchini Senegal kwa kongamano kuhusu usalama wa chakula barani Afrika, ili kuiwezesha kujitegemea kwa chakula.By RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
By RFI Kiswahili
M
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii


1
Waasi wa M23 wauteka mji wa Kitshanga, rais wa Kenya W.Ruto azuru Ufaransa
20:05
20:05
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:05
Makala hii imeangazia mvutano wa kidiplomasia kati ya Rwanda na DRC waendelea kushika kasi baada ya ndege ya jeshi la Congo kutunguliwa kutoka Rwanda, waasi wa M23 wiki hii walishika mji wa Kitshanga katika mkowa wa Kivu kaskazini, rais wa Kenya William Ruto atembelea Ufaransa, Balozi wa Ufaransa nchini Burkina Faso arejeshwa Paris na mapigano huko…
G
Gurudumu la Uchumi


1
Afrika na harakati ya kupunguza gharama ya usafiri wa anga, biashara
9:43
9:43
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:43
Juma lililopita jiji la Nairobi, lilikuwa mwenyeji wa mkutano wa viongozi na wataalamu kutoka umoja wa Afrika na jumuiya nyingine za kikanda zaidi ya nane, ambapo walijadiliana na kukubaliana kwamba, mataifa ya Afrika lazima yatoe motisha kwa uwekezaji wa kibiashara hasa kwenye kilimo, uchumi wa buluu na mazingira ili kupunguza gharama kwa bidhaa z…