Ambayo public
[search 0]
More

Download the App!

show episodes
 
Podcast namba moja Tanzania ambayo itakusaidia kuongeza thamani ya maisha yako kupitia mafunzo ya maendeleo binafsi, elimu ya fedha, elimu ya Mahusiano na elimu ya kujitambua Maisha Ni Kuthubutu Podcast ipo kukupa maarifa yatakayo kusaidia wewe kupiga hatua zaidi kwenye maisha yako Podcast zinafanywa na Innocent Ngaoh Instagram: @Lolo_Facts
 
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
 
Maelezo - Neno ni sehemu ya huduma ya kimataifa ya mafundisho ya biblia nzima ya Thru The Bible. Mfululizo wa mafundisho haya kwanza yaliandaliwa na Dkt. J. Vernon McGee na kutafsiriwa kwa lugha zaidi ya mia moja na kabila. mafundisho hayo yakusudiwa kuwa ya dakika 30 kwenye radio ambayo kwa mpangilio maalum humwezesha msikilizaji kujifunza Biblia nzima. Sasa ujumbe ndizo twakusilishia kwenye mtandao. Twashukuru kwamba umeanza kujifunza mengi zaidi katika Neno la Mungu kwa njia ya ujumbe hiz ...
 
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
 
Loading …
show series
 
Idadi ya watu waliolazimika kukimbia migogoro, ghasia, ukiukwaji wa haki za binadamu na mateso sasa imevuka hatua ya kushangaza ya watu milioni 100 kwa mara ya kwanza kwenye rekodi, iliyochochewa na vita vya Ukraine na migogoro mingine inayosababisha maafa limesema Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR…
 
Kenya ni moja ya nchi zilizoathirika sana na ukame uliosababishwa na mabadiliko ya tabianchi katika Pembe ya Afrika, lakini sasa baadhi ya wakulima wa nchi hiyo kwa msaada wa mfuko wa kimataifa kwa ajili ya maendeleo ya kilimo IFAD wameamua kuchukua hatua kulinda mazingira, maisha yao na kujenga mnepo kwa kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi…
 
Leo tarehe 23 Mei 2022 ni Siku ya Kutokomeza Ugonjwa wa Fistula kauli mbiu yam waka huu ikiwa ni “Tokomeza Fistula, wekeza, imarisha ubora wa huduma za afya na wezesha jamii”. Ugonjwa wa Fistula ya uzazi huwapata wanawake wakati wa kujifungua hasa wale wanaojifungua wakiwa na umri mdogo pamoja na kukosa msaada stahiki wakati wa kujifungua, ambapo v…
 
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres hivi karibuni akizungumza na Baraza la Usalama alitaka hatua zichukuliwe kukomesha vita alipokuwa akizungumzia namna ambavyo ni vita ni chachu kubwa ya njaa duniani kote. Vita ya hivi karibuni ambayo imeongeza chumvi katika jeraha ni kutokana na uvamizi wa Urusi kwa Ukraine ambao pamoja na madhara me…
 
Ikiwa leo ni Siku ya Nyuki Duniani na kaulimbiu ya mwaka huu ikisema, “Kama nyuki wanavyoshirikiana: Tusherehekee utofauti wa nyuki na ufugaji nyuki,” wafugaji wa nyuki nchini Yemen wanalishukuru Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO kwa kuwanyanyua tena baada ya kuwasaidia kurejea katika shughuli yao ya jadi ya ufugaji nyuki ambayo…
 
Takribani miaka miwili iliyopita, Umoja wa Mataifa ulizindua mkakati wake na ukapewa jina "iliyothibitishwa" au “Verified initiative” ambao unataka watu kote duniani kutafakari kabla ya kusambaza taarifa au maaudhi kwenye mitandao ya kijamii. Mitandao ya kijamii ni moja ya njia inayotumiwa na jamii sio tu kwa mawasiliano kwa wapendwa wao bali pia k…
 
Kuelekea siku ya kimataifa ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa na katika kuendeleza jukumu la ulinzi wa amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, vikosi vya ulinzi wa amani kutoka Tanzania yaani TANZBATT 9 na kikosi cha utayari TANZANIA QRF2 vimefanya kikao cha Urafiki baina yao na uongozi wa raia wa nchi hiyo katika maeneo ya uwajibikaji wa …
 
Viashiria vinne vinavyotumika kupima hali ya hewa duniani vyote vimeonesha hali kuendelea kuwa mbaya duniani licha ya wadau kila uchao kujadiliana na kuahidi kuchukua hatua madhubuti za kulinda dunia kutoathiriwa na mabadiliko ya tabianchi ambayo kwa kiasi kikubwa yanachangiwa na shughuli za kibinadamu.…
 
Moja ya changamoto iliyokatisha ndoto za watu wengi, ni ile ya kukataliwa ama kupingwa.Watu wengi wamekutana na hali hii, kuna ambao wameweza kuishinda, pia kuna ambao imekuwa kikwazo kwao.Jambo moja muhimu la kufahamu ni kwamba kukataliwa ni suala la kawaida, hata uwe bora kwa namna gani sio kila mtu atakubaliana wewe.Watu watakukataa kwa sababu z…
 
Umoja wa Mataifa unasema kuwa athari za kiuchumi na kijamii za janga la COVID-19 zimeathiri vibaya maendeleo ya hivi karibuni yaliyokuwa yamefikiwa katika usawa wa kijinsia. Unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana umeongezeka, ndoa za utotoni zinatarajiwa kuongezeka baada ya kuwa zimepungua katika miaka iliyopita. Gonjwa hilo limeonesha hitaji l…
 
Wakati hatua kubwa imepigwa katika kuondoa na kutegua mabomu yote ya kutegwa ardhini na mabaki mengine ya vifaa vya milipuko ya vita nchini Sudan Kusini, baadhi ya jamii za nchi hiyo bado ziko hatarini kutokana na uwepo wa mabomu hayo. Moja ya jamii hizo ni Gondokoro karibu na mji mkuu Juba, ambako kwa mujibu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya huduma …
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la kazi duniani, ILO limeendesha programu ya kutoa mafunzo ya stadi za kuendesha biashara kwa jamii zinazowahifadhi wakimbizi hususan wakazi wa Kakuma, kaunti ya Turkana nchini Kenya kwa kutambua changamoto za maendeleo zinazokabili jamii zinazohifadhi wakimbizi kufuatia ujio wa wakimbizi.…
 
Watu zaidi ya milioni 3 wameathirika vibaya na ukame nchini Kenya kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA huku eneo lililoathirika zaidi ni kaunti ya Turkana. Maelfu ya watu wanahaha kupata mlo, Watoto imekuwa changamoto kwenda shule na maji ambayo ni uhai imekuwa bidhaa adimu kupatikan…
 
Tukisalia Afrika, Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF huko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC linatumia wafanyakazi wa kijamii kuhamasisha wakazi wa vitongoji vya mji mkuu, Kinshasa kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona, au COVID-19 kwa kuwa baadhi ya watu bado wanasuasua kupatiwa chanjo hiyo. Taarifa ya Assumpta Mas…
 
Tunaanzia Somalia ambako Mfuko wa kimataifa kwa ajili ya maendeleo ya kilimo IFAD umeonya kwamba ukame na vita vinavyoendelea nchini Ukraine vimesababisha athari kubwa kwa wakulima nchini HUMO, ambao sasa wanahitaji msaada wa haraka ili kunusuru kilimo na maisha yao kabla hali haijageuka kuwa janga kubwa la kibinadamu. Taarifa ya Anold Kayanda inaf…
 
Wakimbizi katika kambi ya wakimbizi warundi ya Lusenda katika mkoa wa kivu ya Kusini mashariki mwa DRC, wametoa malalamiko yao mbele ya mkuu wa ofisi shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR katika ukanda wa kaskazini mashariki mwa DRC yenye makao yake mjini Goma. Jackie Keegan amepokea malalamiko hayo na kuahidi kuyafanyia kazi al…
 
Tukiachana na masuala ya COVID-19 sasa tumulike vijana balehe ambapo shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF nchini Uganda linaendesha programu ya waelimishaji rika ambayo imesaidia watoto kadhaa wa kike akiwemo Sara kuacha kujiua baada ya kubakwa na kupewa ujauzito na hatimaye kurejea shuleni kusoma huku akilea mtoto wake na kuwa n…
 
Bara la afrika limepiga hatua kubwa katika vita dhidi ya janga la COVID-19, idadi ya wagonjwa na vifo inapungua lakini bado kuna changamoto kubwa kuhusu janga hilo limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kufanikisha upatikanaji wa dawa na tiba kwa gharama nafuu UNITAID ambalo linajikita katika kutafuta suluhu za kibunifu za kuzuia, kutambua na kuti…
 
Jamii katika eneo la Abu Gaw, Darfur Kaskazini, Sudan, imeanza kufaidika na kituo kipya cha afya katika Kijiji chao. Kituo ambacho kimejengwa kutokana na ushirikiano wa jamii, UNHCR na WHO baada ya kuwa kimeharibiwa tangu mwaka 2004 ambapo wananchi waliyakimbia makazi hayo. Happiness Palangyo wa Radio washirika Radio Uhai FM ya Tabora Tanzania anas…
 
Mradi huo una lengo la kuchangia katika kuimarisha mifumo ya usalama na kuimarisha eneo la Karuba kijamii na kiuchumi , halikadhalika kuwezesha wanufaka wanawake kwa wanaume pamoja na vijana wa kike na wa kiume kupata kipato. Wanufaika ni wanawake na wanaume na walifundishwa stadi Wanufaika wa moja kwa moja wa mradi huo ni 40 wakiwemo wanawake 12 w…
 
Kutana na mfinyanzi Nduwimana Cornalie kutoka nchini Burundi ambaye maisha yake yalikuwa duni, akishindwa kukidhi mahitaji ya msingi ya familia ikiwani pamoja na kuweka mlo mezani na hata kupeleka wanawe shule, lakini sasa asante kwa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF lililoanzisha mrandi wa Merankabandi wa kusaidia familia duni…
 
Je unataka kufaidika na usomaji wa vitabu? Basi Sikiliza episode hii ujifunze mambo muhimu ambayo yatafanya uwe msomaji mzuri zaidi wa vitabu na kupata matokeo chanya kwenye kusoma vitabu.Hakikisha una subscribe Castbox na Apple Podcast na turn on notifications Ili uwe kwanza kusikiliza.--- Send in a voice message: https://anchor.fm/maishanikuthubu…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2022 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login